Sunday, July 8, 2012

WEMA AKIWA ANAELRKEA ULINGONI

Jackline Wolper akiwa ameingia uwanjani kwa mbwembwe na kuongea kwa hali ya kutamani pambano lianze mapema apigane na Wema Sepetu, Ulikua ni usiku wa tamasha la matumaini ambapo pambano kati ya Wema na Wolper halikua kama ya mabondia wengine, wao walifanya kama kichekesho ambacho mwisho wa siku walikubali kwamba mpambano wao ulitumika pia kuwaonyesha watanzania kwamba wawili hao hawana beef. Ni uwanja wa taifa Dar es salaam july 7 2012. Wema akiwa anaingia uwanjani kwa mbwembwe nae. . . . Yani ungekuepo hapa ungecheka tu, kila mtu alikua anacheka.. ilikua safi sana! Hapa

No comments:

Post a Comment