Wednesday, July 11, 2012
Tuesday, July 10, 2012
Monday, July 9, 2012
Sunday, July 8, 2012
WEMA AKIWA ANAELRKEA ULINGONI
Jackline Wolper akiwa ameingia uwanjani kwa mbwembwe na kuongea kwa hali ya kutamani pambano lianze mapema apigane na Wema Sepetu, Ulikua ni usiku wa tamasha la matumaini ambapo pambano kati ya Wema na Wolper halikua kama ya mabondia wengine, wao walifanya kama kichekesho ambacho mwisho wa siku walikubali kwamba mpambano wao ulitumika pia kuwaonyesha watanzania kwamba wawili hao hawana beef. Ni uwanja wa taifa Dar es salaam july 7 2012. Wema akiwa anaingia uwanjani kwa mbwembwe nae. . . . Yani ungekuepo hapa ungecheka tu, kila mtu alikua anacheka.. ilikua safi sana! Hapa
Saturday, July 7, 2012
Waziri wa ujenzi John Magufuli wakati akisoma bajeti ya wizara yake bungeni July 5 2012 amesema kiasi cha shilingi milioni 577 kimetengwa kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya Ubungo Maziwa, External, Tabata, Dampo na Kigogo.
Milioni 1000 ni kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya lami Kimara, Kilungule na External, ambapo milioni elfu 2 zimetengwa kwa ajili ya barabara ya Mbezi, Maramba Mawili pamoja na barabara iendayo shule ya msingi Maramba mawili, Kinyerezi na Banana.
Milioni nyingine elfu mbili mia moja ni kwa ajili ya barabara ya Tegeta Kibaoni, Wazo Hill, Goba, Mbezi na Morogoro, Milioni elfu moja imetengwa kwa ajili ya barabara ya tangi bovu goba na Goba ambapo milioni 573 ni kwa ajili ya ukarabati wa barabara ya kimara Baruti, Msewe, Changanyikeni ambapo pia Magufuli amesema Wizara yake pia kupitia TANROADS imetenga bilioni 18 kwa ajili ya mkoa wa Dar es salaam.
Morogoro Road.
Kuhusu ujenzi wa barabara za juu kwenye jiji la Dar es slaam, Waziri Magufuli amesema umetengewa bilioni elfu mbili, daraja la kigamboni limetengewa milioni elfu mbili na mia saba, barabara ya Dar es salaam Mbagala imetengewa shilingi milioni elfu nane na mia tano, kiasi cha shilingi milioni elfu sita na mia sita kimetengwa kwa ajili ya upanuzi wa sehemu ya bendera tatu gerezani ambapo pia ujenzi wa maegesho ya vivuko yametengewa zaidi ya shilingi milioni elfu mbili.
Barabara za juu kwenye miji ya wenyewe.
Kwenye line nyingine, Magufuli amesema barabara za mikoa zimetengewa shilingi milioni 20 na 410 zote zikiwa fedha za ndani ambapo kilichopangwa kutekelezwa ni kufanya ukarabati wa jumla ya ukarabati wa jumla ya kilomita 337 kwa kiwango cha changarawe na kujenga kilomita 23.7 kwa kiwango cha lami.
Ujenzi wa maegesho ya vivuko katika mwaka wa fedha 2012/2013 Magufuli amesema zimetengwa shilingi milioni elfu nne na mia nane ambapo wizara yake inaendelea na juhudi za kuanzisha usafiri wa boti, kivuko katika mwambao wa bahari ya hindi kuanzia Dar es salaam hadi Bagamoyo ambapo zimetengwa pia shilingi milioni elfu mbili.
neyo anunua bonge la mjengo
.
R&B superstar Ne-Yo amekua akitumia muda mwingi kuandikia nyimbo mastaa kadhaa wa muziki duniani, na inaonekana imelipa sana kwa sababu sasa ametumia dola za kimarekani dola laki tano kununua bonge la jumba huko Georgia Atlanta Marekani.
Ni nyumba yenye vyumba 6, mabafu matano na kiwanja cha gofu ambapo kwa ujumla eneo zima lina ukubwa wa square foot 5,900
HII NDO KAULI ILIOTOLEWA NA CHAMA CHA WALIMU KUHUSU MGOMO
Wakati bado ishu ya mgomo wa Madaktari bado iko akilini mwa Watanzania, Chama cha walimu Kigoma kimeonya mwalimu yeyote atakaejaribu kufanya usaliti wa mgomo wao usio na kikomo kwa walimu wote Tanzania unaotarajiwa kuanza siku tatu zijazo.
Katibu wa CWT Kigoma Emmanuel Samara ametoa hiyo tahadhari wakati alipokutana na wawakilishi wa walimu kutoka shule 240 za wilaya ya Kasulu na kuamplfy kwamba katika mgomo wa mwaka 2008 baadhi ya walimu waliwasaliti wenzao na kutoshiriki Mgomo jambo ambalo hawatoliruhusu litokee tena mwaka huu.
Amesema “Mgomo umeitishwa na chama cha wafanyakazi kwa mujibu wa katiba ya chama na walio wengi wameunga mkono, wanachama wetu mashuleni watapiga kura ya kutaka mgomo au kutokutana, hatutaki huu mgomo uwe ni wa chama cha walimu .. uwe ni mgomo wa wafanyakazi wenyewe kwa kuamua kwa kura” – Samara
“Nawatahadharisha kwamba hivi ni vita, katika vita msaliti anaweza asionekane kabisa maisha yake yote kwa sababu na sisi wengine Makamanda wa vita yanayotupata ni makubwa nadhani mnajua kilichompata Ulimboka Kule Dar es salaam… sasa siwezi kukubali nife au niumizwe kwa sababu tu flani kanisaliti, haiwezekani” – Samara
Kwenye line nyingine Mwenyekiti wa CWT mkoani Kigoma Said Ndee amesema mgomo wao ni wa kisheria na umeandaliwa kisayansi ili kuwafanya kufanikisha malengo yao na kwamba kama serikali haitokubali kufikia muafaka kwenye mazungumzo yanayoendelea hakuna atakaewarudisha nyuma kwenye hii ishu.
Friday, July 6, 2012
nick minaji, lil wyn
Birdman – Born Stunna Remix
[Intro: Rick Ross]
Born stunna
I’m a born stunna
Huh born stunna
(Remix Baaaaby)
Money money money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
[Hook: Rick Ross]
Born stunna, born stunna
Flip a hundred keys just to ball all summer
Born stunna, born stunna
I put a hundred karats in the cartier mama
Born stunna, she’s a born stunna
Mercedes coup for the missus if she’s a born stunna
Born stunna, born stunna
Stack a hundred mill and another hundred comin’
[Nicki Minaj]
Born stunna flow
Consistently winning while all you bitches come and go
Oh you mad? You aint headline
You my son and it’s bedtime
I show you bitches how to put together punchlines
It aint working out, it aint crunchtime
Roll a kush up, it’s a chess game, but fuck a push up
Out in Tokyo they calling me Nicki-son
Everywhere you go, they calling you Nicki’s son
Coupes and trucks, money bags, Scrooge McDuck
[Hook: Rick Ross]
Money money money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
[Birdman]
Yea, a lot a lot of money bags
The money in the garbage can
Strapped up tight with a hundred bags
Money filthy bitch, we in the money lair
See, we shinin’ like the money can
Since the money came, bitch we throw the money thang
Yea, YMCMG
Lauder Jet been a hustla since I hit the streets
2-50 on the new piece
New condo, 20 thousand square feet
Ballin’, uptown suicide
Born stuntin’, strapped how we livin’ fine
[Hook: Rick Ross]
Money money money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
[Lil Wayne]
I don’t know bout these other, but I’m gettin’ Trukfit money
And I aint never number 2, so you aint gettin’ shit from me
And you know I’m a boss, so catch me if you can
Blood, I leave a ? bleeding like that nigga got cramps
I got molly, got mary, got white girl, got Keisha
Used to have Trina but I still got nina
Bitch I’m too cold, I’m too coke
I put ya neck in my loophole
I’m too hot, I’m sup’bowl
My money talk, my new bowl
I’m high Jupiter, Pluto
But everybody know I’m from Mars
Keep hatin’, gone make me catch another gun charge
I’m on that good good, floating like Aladdin
Born stunna, stuntin’ like my daddy
[Hook]
Money money money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
Money money money bags
Thursday, July 5, 2012
MAJAJI WA EBSS WALIPOTEMBELEA MAKAZI YA ZANTEL NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA MADAM RITA NA SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA
MAJAJI WA EBSS WALIPOTEMBELEA MAKAZI YA ZANTEL NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA
MADAM RITA NA SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA
BONGE LA SHOW
WATU wangu wa PWANI...MOMBASANI are you ready??? SATURDAY 14th is the day....CLUB IVORY CARNIVAL formerly SEA FRONT is the place to be :: Come join ME, SUSUMILA, DOGO ASLAY & TMK WANAUME FAMILY for the hottest show ever! Spread the word.....na kama utakuwa na MIMI sema NIPOOOO!
ATANGAZA DHARANI KWAMBA YEYE NI SOGA
hadharani kwamba uko kwenye uhusiano wa kimapenzi wa jinsia moja, lakini kwa nchi nyingine zilizoendelea sio kitu kigumu sana.
Ni uamuzi mgumu pamoja na kwamba tumeona mataifa makubwa yakiunga mkono ushoga pamoja na watu maarufu kama mmoja wa maboss wa mtandao wa Facebook Chris Hughes kumuoa mwanaume mwenzake, Rais Obama wa Marekani, Jay Z na watu wengine pia wameonyesha msimamo wao kwamba hawana tatizo na ndoa za jinsia moja.
Baada ya kukupa Intro yote hiyo hapo juu stori kamili ni kwamba Staa wa muziki wa RNB kutoka Marekani Frank Ocean (24) amekubali hadharani kwamba yeye ni shoga, yani amekua akishiriki mapenzi ya jinsia moja.
Haya yote yamefahamika baada ya Ocean kuamua kuandika barua kuhusu ishu yake ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja baada ya fununu kusikika kwa muda mrefu ambapo amesema alipokua na umri wa miaka 19 ndio alifall inlove kwa mwanaume aliependa anavyosmile pamoja na mambo mengine yaliyomvutia, Kwenye album yake mpya pia kuna baadhi ya mistari inayomsifia mwanaume kimapenz katika nyimbo zisizopungua tatu.
Subscribe to:
Posts (Atom)